Magdalena·22 kati ya 45

Jesus Spends Time with Sinners

Jesus warns His disciples that temptations would come. As He sat and ate with those who were not religious, He taught them about God's kingdom and why He had come.

Uliza lako

Nukuu za Biblia

Shiriki
Luke 5:30-32

But the Pharisees and their scribes complained to Jesus’ disciples, “Why do you eat and drink with tax collectors and sinners?” Jesus answered, “It is not the healthy who need a doctor, but the sick. I have not come to call the righteous, but sinners, to repentance.”

Berean Standard Bible

Public Domain

Soma zaidi...
Rasilimali Bure

Ungependa kuelewa Biblia kwa kina zaidi?

Jiunge na masomo yetu ya Biblia

Nakala

Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Makwazo hayana budi kuja. Lakini ole wake ambaye yaja kwasababu yake. Inge mfaa zaidi mtu huyo jiwe lakusagiya lifungwe shingoni mwake Akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmoja wapo wa wadogo hawa. Ufalme wa Mungu umefanana je? Uko namna hii: Mtu anaye twaa punje la haradali na kulipanda shambani mwake. Ikameya ikawa mti mkubwa ndege wa angani wakakaa katika matawi yake. Sina hakika anazungumziya nini. Kwa nini unakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi? Wenye dhambi? Wenye afya hawahitaji dactari, isipokuwa wale ambao ni wagonjwa. Sikuja kuwaita wenye haki bali wenye dhambi wapate kutubu.
JesusFilm