Inapakia video
Nakala
Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Simulizi ifwatayo inatokana na mashuhuda ya maisha ya Yesu
Kama ilivyo andikwa kwenye injili ya mtakatifu Matayo, Marko, Luka, na Yohana.
Imesimuliwa na Maria Magdalena ambaye maandiko yana mtaja kama mmoja wa wafuasi wa Yesu.
Simulizi yake yenye kuvutiya na usahihi imeeleza hadisi ya kweli,
ya mtu aliyeishi karibu myaka 2.000 iliyo pita.
Muigizaji anaye husika sehemu ya Yesu, japo kuwa hakuna muigizaji anaye faa kwenye nafasi hii,
Imefanywa hivyo ilituweze kuelewa na kufaidika kutokana na maisha ya Yesu.
Nardine Productions Ikishirikiyana na Inspirational Films, Inc. wanatuonyesha
Magdalena akifunguliwa kutoka katika aibu
Palestine 40 A.D.