43 kati ya 44Magdalena · 44 sura

Rivka Believes

Jesus died to restore our broken relationship with God. Rivka chooses to believe all that Mary Magdalene has told her and asks Jesus to be her Lord and Savior.

Uliza lako

Nukuu za Biblia

Shiriki
Romans 3:23

for all have sinned and fall short of the glory of God,

Berean Standard Bible

Public Domain

Soma zaidi...
Luke 23:39-43

One of the criminals who hung there heaped abuse on Him. “Are You not the Christ?” he said. “Save Yourself and us!” But the other one rebuked him, saying, “Do you not even fear God, since you are under the same judgment? We are punished justly, for we are receiving what our actions deserve. But this man has done nothing wrong.” Then he said, “Jesus, remember me when You come into Your kingdom!” And Jesus said to him, “Truly I tell you, today you will be with Me in Paradise.”

Berean Standard Bible

Public Domain

Soma zaidi...
Rasilimali Bure

Ungependa kuelewa Biblia kwa kina zaidi?

Jiunge na masomo yetu ya Biblia

Nakala

Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Ni mtu mwenye huruma tu, na uwezo, na kuaminika kama Yesu anastahili kuaminiwa na kuabudiwa nasi. Mungu alipoumba ulimwengu, Alimfanya mwanaume na mwanamke waishi katika uwepo wake na kupata furaha yake. Huo ndio ulikuwa mpango wake. Lakini hatukumwamini, na hatukutii amri yake. Tendo hili la aibu lilitutenganisha na Mungu, na kuharibu uhusiyano wa karibu kati ya mwanamke na mwanaume. Nasisi, piya, tumeendeleya katika uasi huo. Maandiko yana sema, " Hakuna mtu asiyetenda dhambi." Matokeo ya dhambi hii ni mauti na kutengana na Mungu. Lakini Mungu hakuridhika kuona sisi tunabaki tumetengwa naye na upendo wake, tukiishi kwa aibu na hofu. Hivyo, kama alivyotowa kondoo kufa badala ya mtoto wa Abrahamu, Mungu alimtuma Yesu kufa badala yetu. Maisha ya Yesu, kufa, na kufufuka kwake kulirejesha uhusiyano kati ya Mungu Na wale wanaomgeukiya na kumufwata. Na uhusiyano huu wa karibu na Mungu mwenyezi haukomi, hata tukifa. Muhalifu pale msalabani, alipokaribiya kufa, alimwamini Yesu... Na Yesu alimuahidi, " Leo hii utakuwa nami paradizo." Wale wote wanao weka tumaini lao kwa Yesu wataepuka adhabu ya milele na kuishi na Mungu milele. Inakuwaje? Kwakumufwata yeye kwa imani. Lakini atanikubalije mimi? Alimkubali Mariya na mimi. Nitajuwaje? Mwamini. Mwombe. Zungumza naye. "Mungu, Baba wa mbinguni U mtakatifu na wa haki. Asante kwa kunipenda. Nime kutenda dhambi. Asante kwa kumtuma Masihi aliyeahidiwa, Yesu Ilikuharibu laana ya aibu na hatiya. Nashukuru kuwa alikufa kwaajili yangu. Ninataka kumufwata mwokozi wangu aliye hayi. Nakushukuru kwa kunisamehe na kuni kubali mimi. Amina. Amina. Amina. Asante. Asante.
JesusFilm