Inapakia video
Nakala
Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Hakika tulimuhitaji Mwokozi.
Roma ilitutawala kwa mkono wa chuma.
Wali chukuliya kila kitu cha thamani na kutulipisha kodi kwa kidogo kilicho baki.
Tulikuwa wenye njaa, kimwili na kiroho, na tulihitaji mtu mmoja wa kutu onyesha njiya ya Mungu.
Baada ya myaka mingi ya mapambano na kukatishwa tamaa, wengi wetu tulikosa tumaini.
Bali Yesu alionekana kutowa tumaini popote alipokwenda.