Inapakia video
Nakala
Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Uli wahi kujiulza kwanini ni muhimu sana kwamba Yesu alifufuka baada ya kufa kwa ajili yetu?
Hebu fikiria kwa muda kile mtu aliyekufa anaweza kutupatia.
Je, angeweza kutupatia uzima ?
Hapana, atakuwa amekufa baada ya yote.
Vipi kuhusu urafiki?
Hmmm, labda sivyo.
Vipi kuhusu kutupatia nguvu yakubadili maisha yetu?
Kwahio, unaona shida.
Habari njema ni kwamba kwa sababu Yesu alifufuka
na bado anaishi,
anaweza kubadilisha kila kitu.
Lakini anawezaje kurudi kwenye uhai?
Yesu alikuwa safi kabisa.
Ambayo inamaana uovu unaotuua
haukuweza kumuweka kaburini.
Yeye ndiye mtu pekee mzuri hivi kwamba alishinda kifo!
Sio tu kurekebisha kuvunjika kwetu, lakini kuosha maovu yetu na kutupatia uzima pamoja naye.
Maisha ya uhuru na furaha, yaliyomiminwa katika upendo na huduma kwake.
Kwa sababu uhai anaotoa hauna mwisho.