Kipindi
6. Being Made New
dakika 1FHD
New Believer Course·6 kati ya 10Klipu 6 kati ya 10
6. Being Made New
God has adopted us as His children through the life Jesus gives us, and we are promised genuine life change.
MaswaliMaswali Yanayohusiana
Uliza lakoNukuu za Biblia
ShirikiGalatians 2:20
I have been crucified with Christ, and I no longer live, but Christ lives in me. The life I live in the body, I live by faith in the Son of God, who loved me and gave Himself up for me.
Berean Standard Bible
Public Domain
Soma zaidi...Nakala
Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Je, ni kweli kwamba Mungu atanizuia kutokuishi na tamaa zangu mbaya?
Tulipozaliwa,
Hatukujipatia uhai wenyewe
Mungu alitupa uzima kwa kupitia wazazi wetu.
Kwa kuwa Mungu anaweza kutupa uhai bila kitu chochote, basi pia anaweza kutubadilisha tuwe kama yeye.
Sote tumejaribu kujifanya watu wazuri kwa juhudi zetu wenyewe,
na tumeshindwa.
Lakini tunapopokea maisha ya kiroho mapya ambayo Yesu anayotupa,
tunamtegemea kabisa,
atuweke salama, atufundishe jinsi ya kuishi, na kutusaidia kuwa na nguvu.
Mungu ametugeuza kuwa watoto wake,
na anaahidi kwamba tukimwamini na kumtegemea kwa mioyo ya shukrani,
atatufanyia mabadiriko endelevu
Kwa hiyo, tunapokaza mioyo kumpenda Yesu kama anavyotupenda,
atatufanya kuwa safi, kutupa nguvu, na kutupa tumaini.