New Believer Course·9 kati ya 10

9. Prayer

Jesus modeled a simple example of this in what’s called “the Lord’s Prayer,” in Matthew 6:9-13. This prayer was an answer to one of his friends asking how to pray.

Uliza lako

Nukuu za Biblia

Shiriki
Philippians 4:6

Be anxious for nothing, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God.

Berean Standard Bible

Public Domain

Soma zaidi...
Rasilimali Bure

Ungependa kuelewa Biblia kwa kina zaidi?

Jiunge na masomo yetu ya Biblia

Nakala

Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Je, tunasitawishaje uhusiano na Mungu wa ulimwengu mzima? Mahusiano yanatokana na uwezo wetu waku zungumza na wenzetu. Na maombi ni njia yetu ya kuwa na mazungumzo ya dhati na Mungu. Yesu ansema hivyo, tuzungumzapo naye kwa uhuru na kumtafuta kwa mioyo yetu, atatujibu kwa njia ya Roho Mtakatifu anayewekwa ndani yetu, kuwasiliana na mioyo yetu. Kisha, tunapomwoba tunapomuomba, twaweza kuhisi mioyo yetu inapo mpa shangwe, au tukihisi tunapomhuzunisha. Kwa sababu, tumaini lake ni kwamba tupate uhusiano halisi, na wa karibu pamoja naye, ili tuweze kuishi katika wema na uhuru anaotutolea siku baada ya siku. Bila maombi, tunajikuta mbali naye. Lakini tunapokua karibu na Yesu kwa kuzungumza naye, tunazidi kumpenda zaidi. Na kadiri tunavyompenda, ndivyo tunavyozidi kupenda anayopenda, na kukataa yanayoathiri uhusiano wetu.
JesusFilm