Inapakia video
Nakala
Swahili, Tanzania (Kiswahili)
Je, tunasitawishaje uhusiano na Mungu wa ulimwengu mzima?
Mahusiano yanatokana na uwezo wetu waku zungumza na wenzetu.
Na maombi ni njia yetu ya kuwa na mazungumzo ya dhati na Mungu.
Yesu ansema hivyo, tuzungumzapo naye kwa uhuru
na kumtafuta kwa mioyo yetu,
atatujibu kwa njia ya Roho Mtakatifu anayewekwa ndani yetu,
kuwasiliana na mioyo yetu.
Kisha, tunapomwoba tunapomuomba, twaweza kuhisi mioyo yetu inapo mpa shangwe,
au tukihisi tunapomhuzunisha.
Kwa sababu, tumaini lake ni kwamba tupate uhusiano halisi, na wa karibu pamoja naye,
ili tuweze kuishi katika wema na uhuru anaotutolea siku baada ya siku.
Bila maombi, tunajikuta mbali naye.
Lakini tunapokua karibu na Yesu kwa kuzungumza naye,
tunazidi kumpenda zaidi.
Na kadiri tunavyompenda, ndivyo tunavyozidi kupenda anayopenda,
na kukataa yanayoathiri uhusiano wetu.